-->

Type something and hit enter

On 

NAFASI YA KAZI KWA BLOGGER KUTOKA KIJIWE MEDIA LTD
NAFASI YA KAZI KWA BLOGGER KUTOKA KIJIWE MEDIA LTD

Mtando wa habari za ajira nchini wa Kijiwe cha wasomi ulio chini ya KIJIWE MEDIA LTD umetangaza fursa ya ajira kwa blogger za Tanzania.

Vigezo kwa waombaji

  • Awe na uzoefu wa kutosha katika tasnia ya habari za ajira
  • Awe na uwezo wa kuanda post kulingana na vigezo wa S.E.O na S.M.O
  • Awe mbunifu katika kuandaa habari, kuziboresha (optimization) na kushare kwa wasomaji

Jinsi ya kuapply

maombi yote ya tumwe kwenye email ya realjobstz@gmail.com
 

Je kuna njia nyingine ya kuwasiliana na kijiwe media ltd?


Waweza kuwasiliana nao kwa njia ya posta ifuatayo:-

Kijiwe Media Limited,
P.O.Box 138,
Mtwara Tanzania

APPLY HERE

Click to comment
 
Blog Meets Brand