-->

Type something and hit enter

On 

Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu, Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni 
 1. Mwanamuziki bora wa kike Afrika Mashariki (Best Female East Africa)
 2. Rapper bora wa Kike Afrika {Best Female Rap Act}

  Ili Kumpigia kura Bonyeza Link HAPA kisha tick Jina Lake katika vipingele hivyo viwili alafu Shuka chini Bonyeza Cast your Vote

  NOTE: Hakikisha Umeweka Majina yako na Email Yako kwanza


  LINK   Click to comment
   
  Blog Meets Brand