-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
NYOTA Muargentina, Lionel Messi jana amecheza mechi yake ya kwanza Barcelona tangu jaribio lake la kuondoka lizimwe.
Messi mwenye umri wa miaka 33 aliingia dakika ya 46 kuchukua nafasi ya mshambulaji Mdenmark Martin Braithwaite, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Gimnastic de Tarragona katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Johan Cruyff mjini Sant Joan DespĂ­.
Mabao ya Barcelona ambayo sasa ipo chini ya kocha Mholanzi, Ronald Koeman yalifungwa na Ousmane Dembele dakika ya tano, Antoine Griezmann dakika ya 17 kwa penalti na Phillipe Coutinho dakika ya 51  kwa penalti pia, wakati bao pekee la Gimnastic de Tarragona lilifungwa na Javier Bonilla dakika ya 30.

Lionel Messi jana amecheza kwa dakika ya 45 Barcelona ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Gimnastic Tarragona 


Click to comment
 
Blog Meets Brand