-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KUNGO mkabaji ndani ya Timu ya Simba Gerson Fraga ambaye ni Raia wa Brazil atakuwa nje ya Uwanja kwa muda wa wiki tatu kutokana na majeraha ya mguu wa kushoto aliyopata.

Maumivu hayo alipata kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United uliochezwa Uwanja wa Taifa Septemba 20.

Taarifa za daktari wa Simba Yassin Gembe zimeeleza kuwa hana majeraha makubwa ila atakaa nje kwa muda huo ili kuwa imara zaidi.

 

Wakati Simba ikishinda kwa mabao 4-0 alitoka dakika ya 8 na nafasi yake ikichukuliwa na Said Ndemla.

The post Mbrazil wa Simba Nje Wiki Tatu appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand