Lulu Michael Afunguka Kuitamani Ndoa...... - EDUSPORTSTZ

Latest

Lulu Michael Afunguka Kuitamani Ndoa......MWIGIZAJI wa fi lamu nchini Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa alitamani sana kuwa na mtoto alipofi kisha umri wa miaka 22.

Mrembo huyo alisema ingawa hadi sasa bado hajafanikiwa ila anaamini ukifika wakati wa Mwenyenzi Mungu atajaliwa kupata mtoto wake.

“Sikuwahi kuwaza kuolewa, ila nilitamani niwe na mtoto wangu nikiwa na miaka 22, nilitamani sana kuzaa, lakini mipango ya mwanadamu sio mipango ya Mungu, nina miaka 25 sasa na bado sijajaliwa mtoto, naamini wakati wa Bwana ukifika nitazaa,”alisema.Lulu aliwahi kuvishwa pete ya uchumba na Francis Ciza maarufu kama Majizzo mwishoni mwa Septemba 2018 na mpaka sasa hakuna ndoa iliyofungika.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz