-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya soka ya Yanga imesema imekamilisha kazi ya michoro kwenye ujenzi wa uwanja wake wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.

 

Kupitia taarifa iliyotolewa na klabu hiyo kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, imeelezwa kuwa hatua inayofuata ni kutangaza zabuni ili kazi ya ujenzi ianze rasmi.

 

Aidha taarifa hiyo imefafanua kuwa ujenzi utafanyika kwa ushirikiano na wadhamini wa klabu hiyo na wana Yanga wote kwa ujumla.

The post Kumekucha Yanga, Zabuni Ujenzi Uwanja Kutangazwa appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand