IMEFICHUKA: Condom zilizotumika zinaoshwa na kutumika tena | EDUSPORTSTZ -->

Type something and hit enter

OnPakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


 Polisi wa Vietnam wanachunguza kiwanda ambacho kimebainika kukasanya mipira ya kiume (condom) zilizotumika na kuziosha kisha kuziweka tena kwenye pakiti zake na kuziuza kwenye Masoko mbalimbali ya Ndani na Nje ya Vietnam, tayari Polisi wamemkamata Pahm Thi Than, Mwanamke mwenye connection na wamiliki wa Kiwanda hicho, ambaye ni miongoni mwa waliopewa tenda ya kukusanya condom hizo na anasema analipwa pesa ndefu kwa kazi hiyo.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


“Nikivuta pesa nawapoza wahudumu kwenye Hotel na Lodge ambako najua mzigo wa condom zilizotumika upo kwa mwingi na wananipatia, kadri Watu wanavyoongeza speed ya kuhudhuria kwenye Lodge na kutumia mipira na mie ndivyo napata pesa”

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment
 
Blog Meets Brand