-->

Type something and hit enter

On
Jadon Sancho (kushoto) akimpongeza Erling Haaland baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao mawili dakika ya 54 kwa penalti na lingine dakika ya 77 akimalizia pasi ya mchezaji mwenzake huyo
 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Signal-Iduna-Park, Jijini Dortmund. Bao la kwanza la Borussia Dortmund limefungwa na Giovanni Reyna dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPAPakua App ya 'EDUSPORTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment
 
Blog Meets Brand