GNABRY APIGA HAT TRICK BAYERN MUNICH YASHINDA 8-0 BUNDESLIGA-Michezoni leo | EDUSPORTSTZ -->

Type something and hit enter

OnPakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
Serge Gnabry amefunga mabao matatu, mabingwa watetezi Bayern Munich wakiibuka na ushindi wa 8-0 dhidi ya Schalke 04 katika mchezo wa ufunguzi wa Bundesliga usiku wa Ijumaa Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich. Gnabry alifunga dakika ya nne, 47 na 59, wakati mabao mengine yamefungwa na Leon Goretzka dakika ya 19, Robert Lewandowski kwa penalti dakika ya 31, Thomas Muller dakika ya 69, Leroy Sane dakika ya 71 na Jamal Muisala dakika ya 81 

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment
 
Blog Meets Brand