Fahyvanny: Rayvanny Kwangu Amefika | EDUSPORTSTZ -->

Type something and hit enter

OnPakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


 MZAZI mwenza wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny, mwanadada Fahima Msenga ‘Fahyvanny’ amekiri kuwa hatoweza kuachwa na mpenzi wake.

 Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Mwanadada huyo ambaye pia ni maarufu kama Fahyma, amesema amewaponda wale wanaodai kuwa ameachwa na mumewe huyo na kudai kuwa, kwa Rayvanny ndiyo kashafika.

 

Katika kuthibitisha hilo, aliposti picha katika  mtandao wake wa Instagram, ambapo mashabiki walimtaka kupunguza stesi kwa kuwa mume harudishwi kwa kufanya hivyo.

 

Hata hivyo, Fayvanny naye alijibu na kuwaambia “Kiufupi kwangu ndiyo kashafika na mimi ndiyo mwanamke wa maisha yake, hivyo hawezi kuniacha na desturi ya Watanga hatufunzwi”.

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment
 
Blog Meets Brand