-->

Type something and hit enter

On



 



ALIYEKUWA mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse ambaye hivi karibuni alitangaza kuacha kazi kwenye kituo hicho, amevunja ukimya na kuamua kufunguka kilichomuumiza mpaka akagombana na Staa wa Bongo Fleva, Alikiba,  siku za nyuma.

 

Diva kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha ya Alikiba akiwa na baby mama wake Amina na kuandika ujumbe huu.

 

“Tusahau Mambo ya Connection Jaman lets Focus na hii Couple… Mhhh… ila Amina is Pretty Mashallah ♥️♥️
ILA They look Good Together Jamani… I admire them tho…. ati #Kigagula??? Yamepita I don hold grudges….

 

Ila Ali katika majina Yote hili aliona linanifaa kweli dah life inaenda kwa kasi sana ati nshasahau… Si bora angelitia uzungu kidogo aniite KJ… Ile kigagula sikuwahi ipenda kabisa KJ imekaa kizungu levels eeh…. ila nili-mind sema mi Mnyamwezi, imeisha hiyo 😂😂😂……. Spreading Love Yo

Click to comment
 
Blog Meets Brand