-->

Type something and hit enter

On
 Staa wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz ameamua kuanika hisia zake kwa msanii mwenzake @mimi_mvrs11 kupitia ukurasa wa Instagram


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost video ya Mimi Mars akiwa anaimba wimbo mpya wa @officialzuchu na kuandika "Mimi nakapendaga sana haka katoto.... Sema sijui hata timing naikoseaga wapi mwana wa Dangote.. Dooh"


Ikumbukwe kuwa Diamond Platnumz kwa sasa yupo Single baada ya kubwagana na baby mama wake @tanashadonna

Click to comment
 
Blog Meets Brand