-->

Type something and hit enter

On

Jackline Shirima ni msichana aliyeugua ugonjwa wa Gancrine nakupeleka kukatwa miguu yote miwili kwa wakati mmoja lakini miezi sita iliyopita aliomba msaada kupitia Ayo tv ili aweze kusaidiawa kupatiwa miguu ya bandia


Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Good news ni kwamba binti huyo amefanikiwa kupata miguu hiyo ambayo imegharimu zaidi ya shilingi million nane ambazo zimechangwa na watu mbalimbali


“Namshukru Mungu nimepata hii miguu ilikuwa siwezi kutembea nikitaka kutoka nje ilikuwa lazima nibebwe,natamani sasa hivi nifanye biashara wakala wa  mitandao ya simu kwa kuwa nitakuwa nakaa nakufanya kazi za mikono maana siwezi kutembea umbali mrefu”-Jack


Click to comment
 
Blog Meets Brand