-->

Type something and hit enter

On
 ALLY Niyonzima nyota mpya wa Azam FC aliyeibukia huko akitokea Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda leo amepachika bao lake la kwanza wakati wakishinda kwa bao 1-0 mbele ya Mbeya City.

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Mchezo huo umechezwa leo Septemba 20, Uwanja wa Sokoine ni wa tatu kwa Mbeya City kupoteza na wa tatu kwa Azam kushinda.

Niyonzima amefungua akaunti yake ya mabao leo dakika ya 24 kwa kupachika bao lake kwa kichwa akiwa ndani ya 18.

Jumla Azam FC imeshinda mechi tatu ikiwa na pointi 9 kibindoni nafasi ya kwanza na Mbeya City nafasi ya 18 na haijaambulia pointi kibindoni.

Click to comment
 
Blog Meets Brand