-->

Type something and hit enter

On
Kiungo Thiago Alcantara ameandika barua ya kuuaga uongozi na mashabiki wa klabu ya Bayern Munich. Taarifa kutoka nchini Uingereza zinaeleza kuwa ameshakubali kujiunga na klabu ya Liverpool na anatarajiwa kutangazwa muda wowote.
 

Click to comment
 
Blog Meets Brand