-->

Type something and hit enter

On
Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Msanii kutoka Lebo ya Konde Gang wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize  amezindua rasmi Tamasha lake la Harmo Night Carnival.

Harmonize ameongeza kuwa Tamasha hilo litafanyika siku tatu ambalo litaanzia tarehe 28/11/2020 na kuongeza kuwa wasanii wote ambao wapo kwenye Album yake ya AFROEAST watakuwepo.

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Tamasha hili limeelezwa kuwa litafanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa litajumuisha wasanii zaidi ya 15 kutoka nje ya nchi wakiungana na wasanii wa ndani.

Harmonize amesema wasanii watatuma maombi kwani akichagua yeye ataonekana kama anapendelea na watataja kiwango cha pesa ambacho wataataka kulipwa.

Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB
 
Blog Meets Brand