-->

Type something and hit enter

On
Kupitia ukurasa wa msanii @roma_zimbabwe
Ameandika maneno haya

"Nilikutana Na Huyu #Binti Mweupe,Mwenye Gauni Jekundu Kushoto Kwangu, Nikavutiwa Sana Na Muonekano Wake
(Very Beautiful) Nikatamani Kufanya Naye Video Ya Moja Ya Nyimbo Zangu (Love Song).

Nilipomu-Aproach alikuwa interested Sana, Lakini Alinambia Hataruhusiwa Na Wazazi Wake.🥺

Nilipoongea Na Mama Yake, Duh Mama Alikataa Kabisa Na Hasa Alisisitiza Sheria Za Huku Haziruhusu, Kwakuwa Bado Mdogo Sana, Na Nilishtuka Aliponitajia Umri Wake, Kuwa Ana Miaka 11 or 12! Yaani Amemzidi #IVAN Miaka Mitatu Tu!!🤔

Nikasononeka Huku KimoyoMoyo Nawaambia....Yaani Nyie Mnapajua #Buza Kama #Buza Nyie Kwa Mpalange Huko, Watoto Wamevurugwa Wanaamsha Tu Hamna Cha Ruhusa Ya Baba Wala Kaka Yake Mama.... Chupa Baba Utakutana Nalo Link Kwenye BIO....KUDADEKI
Yaani Niliwatazaaaamaaaaa Aaaf Nikajisemea Tu....Mnapajua Kwa Lulenge Nyie!!!?

Basi Bwana Nikakumbuka Wahenga Walisema Tenda Wema Nenda Zako!! 🤔

Lakini Kuna Muda Unatenda Wema Mpaka Unakosa #Nguvu Za Kwenda Zako!!"

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment