-->

Type something and hit enter

On

Muimbaji huyo ambaye yupo Dodoma kwaajili ya Mkutano Mkuu wa CCM uliomalizika hapo jana, akiwa kwenye appearance ya show ya Uchumi wa Kati Celebrations alisema kuna mambo mengi ya kiuwekezaji ameshaanza kuyafanya Dodoma huku akieleza moja wapo ni manunuzi ya nyumbali mbili za kifahari.

Staa wa muziki kutoka Africa Mashariki, Diamond Platnumz ametangaza kuwa amenunua nyumba kali mbili kwa siri mjini Dodoma wiki 4 zilizopita.

Diamond amesema kuwa amenunua nyumba hizo kwakuwa mji huo ndio Dar es salaam Mpya.

Kauli hiyo ameitoa usiku wa kuamkia leo Julai 12, 2020 wakati akiwa jukwaani akitumbuiza kwenye show ya uchumi wa kati celebrations.

Muimbaji huyo ambaye yupo Dodoma kwaajili ya Mkutano Mkuu wa CCM uliomalizika hapo jana, akiwa kwenye appearance ya show ya Uchumi wa Kati Celebrations alisema kuna mambo mengi ya kiuwekezaji ameshaanza kuyafanya Dodoma huku akieleza moja wapo ni manunuzi ya nyumbali hizo mbili za kifahari.

Aidha Msanii huyo ambaye ni mkurugenzi wa wasafi Media alitoa siri kuwa Wasafi Fm itaanza kusikika katika mji wa Dodoma siku ya Jumanne ya Tarehe 14, Julai 2020

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment