;
MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA KUMALIZA "TOP FOUR" - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 1 July 2020

MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA KUMALIZA "TOP FOUR"

Bruno Fernandes akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United dakika za 29 na 50 kufuatia Manchester United kufunga la kwanza dakika ya 16 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa The AMEX. Ushindi huo unaifanya Manchester United ifikishe pointi 52 baada ya kucheza mechi 32 na kurejea nafasi ya tano ikiizidi wastani wa mabao tu Wolverhampton Wanderers 
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB