-->

Type something and hit enter

On
Jerry Muro, Dismas Ten waipongeza simba kwa ushindi "Simba imecheza mpira wa kiwango cha uchumi wa kati"

 Timu ya simba jana imeionyesha mpira timu ya yanga na kukubari kuchezea kichapo cha bao 4-1 hali ambayo imepelekea wana yanga kotoa ya moyoni kuhusu mchezo huo

Kwa upande wake DC Jerry Muro na ambaye aliwahi kuwa msemaji wa yanga kupitia instagram yake ameandika haya;

Simba imecheza mpira wa kiwango cha uchumi wa kati, Hongereni sana @simbasctanzania fantastic football, hili nalo litapita tu ndugu zangu @yangasc maisha yanaendelea bado matukio ni mengi likiwemo la uchaguzi mkuu 🙏🙏🙏

Naye Dismas ten amesema sio suala la mbinu tu ni ubora wa timu, mchezaji mmoja mmoja na mbinu binafsi nimekubali sina sababu wala kisingizio honereni simba SC kila la kheri kwenye fainali , kila la kheri kimataifa


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB