;
Bilionea Laizer Afanya Sherehe Kubwa ya Kuuaga Umaskini, Waalikwa Wamekula na Kuvimbiwa - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 1 July 2020

Bilionea Laizer Afanya Sherehe Kubwa ya Kuuaga Umaskini, Waalikwa Wamekula na KuvimbiwaBilionea wetu leo kafanya sherehe kubwa ya kuuaga umaskini na wanakijiji, pamoja na waalikwa wengine wamekula, ambapo ng’ombe sita zimeanguka na mbuzi kumi

Waandishi wa habari wa millard na Global wamebeba wali kwenye mashati ya na kusahau vipaza sauti ambavo vimetunzwa kwa mwenyekiti wa kijiji.

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB