;
Yanga Yakiona Cha moto kwa KMC,YAPIGWA 3 BILA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 8 June 2020

Yanga Yakiona Cha moto kwa KMC,YAPIGWA 3 BILA

Yanga Yakiona Cha moto kwa KMC,YAPIGWA 3 BILA
Yanga Yakiona Cha moto kwa KMC,YAPIGWA 3 BILA
Mechi ya kirafiki kati ya Yanga na KMC Uwanja wa Uhuru dakika 90 zimekamilika kwa Yanga kukubali kichapo cha mabao 3-0.

Kwa App ya Mapenzi; udaku na michezo»»BOFYA HAPA KUPAKUA APP ISIYOTUMIA DATA NYINGI

Mabao ya KMC yalifungwa na Sadallah Lipangile dakika ya 31, bao la pili lilipachikwa na Charlse Ilanfya dakika ya 45 na bao la tatu lilifungwa na Hassan Kabunda dakika ya 65 kwa mpira wa adhabu.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia mpambano huu wenye burudani za kutosha.

Mshambuliaji wa Yanga Ditram Mchimbi Akimtoroka Golikipa Wa KMC Juma Kaseja Na kwenda kukosa bao la wazi kabisa katika pambano la leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB