;
VIDEO: Rais Magufuli Atumbua na Kuteua ''Huyu Anatuhumiwa Kuchukua Wake za Watu'' - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 June 2020

VIDEO: Rais Magufuli Atumbua na Kuteua ''Huyu Anatuhumiwa Kuchukua Wake za Watu''


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe baada kudaiwa kuwa na mambo ambayo hayaendani na maadili ya kazi yake ikiwemo tuhuma ya kuchukua wake za watu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINIPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB