;
Utabiri wa Paul Makonda Ubunge wa John Mnyika Kibamba - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 30 June 2020

Utabiri wa Paul Makonda Ubunge wa John Mnyika Kibamba"Mnyika atakuwa Katibu Mkuu wa kwanza kutopata ubunge na ataipa CHADEMA viti visivyozidi saba Tanzania Bara na Visiwani, sasa chama hakina hata jengo la Makao Makuu unafirikiri kitafanya maendeleo gani?? Unajua kuna mambo mengine ukiambiwa na wewe utafakari" RC Makonda (@baba_keagan)
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB