;
Tazama watu walivyokusanyika kwa Bilionea Laizer “kama hujala labda umefunga”  - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 30 June 2020

Tazama watu walivyokusanyika kwa Bilionea Laizer “kama hujala labda umefunga” 


Watu mbalimbali ikiwemo waanyakazi wa bilionea Laizer wameweza kufika nyumbani kwake katika kijiji cha Leisinyai mkoani Manyara ikiwa ni kula pamoja nakumshukuru Mungu baada yakubahatika kupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya Billion 7.8

“Nimefurahia mualiko wa Bilionea Laizer ndio maana tumefanya kazi kwa nguvu na sherehe hii ni kwa ajili yetu kwa sababu sisi ni wachimbaji wake,inaweza kuwa  watu zaidi ya elfu mbili yani kama kuna mtu hajala labda amefunga”-Kibanda


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB