;
Rotimi Mpenzi wa Vanessa Mdee Awapiku Chriss Brown na Lil Baby Kwenye Mtandao wa Apple Music - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 27 June 2020

Rotimi Mpenzi wa Vanessa Mdee Awapiku Chriss Brown na Lil Baby Kwenye Mtandao wa Apple Music

Mwigizaji na mwimbaji @rotimi amekamata namba 1 kwenye orodha ya nyimbo 50 zilizotafutwa zaidi (The Most Shazamed tracks) kwa siku 7 katika Jiji la New York kwenye mtandao wa Apple Music, kupitia wimbo wake "In My Bed" aliompa shavu Wale.

Rotimi ambaye ni mpenzi wa mwimbaji Mtanzania Vanessa Mdee, amekaa juu ya wakali wa dunia kama Chris Brown, Young Thug na Lil Baby.


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB