-->

Type something and hit enter

OnKiungo Mbrazil, Carlos Henrique Casemiro akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao pekee dakika ya 45 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Espanyol kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa RCDE. Kwa ushindi huo, Real Madrid inafikisha pointi 71 baada ya kucheza mechi 32, sasa Los Blancos wakiwazidi pointi mbili mabingwa watetezi, Barcelona 


Click to comment
 
Blog Meets Brand