;
Rais Magufuli Uso Kwa Uso na Mbunge Lijualikali "Leo Atakuwa Lijualibaridi, Ebu njoo Usalimie Kidogo" - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 29 June 2020

Rais Magufuli Uso Kwa Uso na Mbunge Lijualikali "Leo Atakuwa Lijualibaridi, Ebu njoo Usalimie Kidogo"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amempa nafsi aliekuwa Mbunge wa CHADEMA Lijualikali azungumze Mkoani Morogoro “Nimefurahi kumuona Lijualikali, leo atakuwa Lijualibaridi, ebu njoo usalimie kidogo, salimu kidogo acha kusoma wewe piga nondo najua umehamia umeanza na kupendeza”.Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB