;
Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Wanandoa Waunganisha Sherehe ya Harusi na Ibada ya Mazishi - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 29 June 2020

Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Wanandoa Waunganisha Sherehe ya Harusi na Ibada ya Mazishi

Nani Anaweza Kuwa Na Ujasiri Huu? Hapo Nyuma Ni Jeneza La Mama Wa Bwana Harusi, Harusi Hii Imefungwa Jana Kigamboni, Mama Huyu Alifariki Siku Ya Sendoff Ya Mkwe Wake. Wanandoa Wakaamua Kuunganisha Ibada Ya Ndoa Na Ibada Ya Mazishi On The Sameday, Je Wewe 'Ujasiri' Huu Unao?


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB