-->

Type something and hit enter

On

Msanii wa Bongo movie na Mtangazaji wa Cloudstv @mwijaku amewageukia meneja wa Diamond Platnumz na Harmonize kwa kuwaonya juu ya tukio walilolifanya siku ya jana kwenye msiba wa aliyekuwa mke wa Babu Tale Morogoro.Katika msiba huo Harmonize alionekana akimpa mkono wa salama meneja wa Diamond Sallam Sk huku Sallam akiutupilia mbali mkono huo wa Harmonize.

Baada ya tukio hilo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, watu wengi walitoa maoni yao lakini kubwa zaidi ni Mwihjaku tuwatumia ujumbe huu akiwaomba wamuombee dua marehemu pia wamuombe msamaha MwenyeziMungu kwa kile walichokifanya.
Click to comment
 
Blog Meets Brand