;
Mke wa Babu Tale Kuzikwa leo Morogoro - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 29 June 2020

Mke wa Babu Tale Kuzikwa leo MorogoroMwili wa marehemu mke wa Meneja wa WCB, Babu Tale, Shamsa Kombo 'Shammy' aliyefariki dunia asubuhi ya jana katika Hospitali ya Muhimbili unatarajiwa kwenda kuihifadhiwa mjini Morogoro.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wanafamilia wa marehemu.

Marehemu enzi za uhai wake alifahamika zaidi kutokana na asasi yake aliyoimiliki ya "Nasimama Nao" iliyokuwa ikiwasaidia kina mama na mpaka mauti yalipomkuta ameacha watoto watatu, wawili wa kiume na mmoja wa kike.


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB