;
MAN CITY NA ARSENAL, MAN U NA CHELSEA NUSU FAINALI FA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 29 June 2020

MAN CITY NA ARSENAL, MAN U NA CHELSEA NUSU FAINALI FA

Raheem Sterling akiifungia bao la pili Manchester City dakika ya 68 kufuatia Kevin De Bruyne kufunga la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Newcastle United 2-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa St. James Park. Man City sasa itakutana na Arsenal iliyoitoa Sheffield United na Chelsea iliyoitoa Leicester City itakutana na Manchester United iliyoitoa Norwich City Julai 18 Uwanja wa Wembley Jijni London Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB