;
Kwa Alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz Naye Anafeki Maisha? - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 27 June 2020

Kwa Alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz Naye Anafeki Maisha?


Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo

Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa amepanga tu?


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB