;
Kuachika Kumewapa Maendeleo Shamsa, Faiza! - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 June 2020

Kuachika Kumewapa Maendeleo Shamsa, Faiza!

Kuachika Kumewapa Maendeleo Shamsa, Faiza!

Shamsa Ford

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefarijiana na staa mwenziye ambaye ni mjasiriamali, Faiza Ally kuwa kutendwa na wanaume ambao wamezaa nao, kumewafanya wakawa na maendeleo.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Shamsa alisema yeye na Faiza wakizungumza wanasikilizana kwa sababu wamepitia machungu ya kulea wao watoto wenyewe tena kwa shida, lakini wamesimama.

"Mwanamke yeyote ambaye amepitia matatizo ya kulea mtoto mwenyewe, anaweza kujua nazungumza nini na ndivyo ilivyokuwa kwa mimi na Faiza, tunaweza kuzungumza lugha moja na pia ni watu tunaofarijiana sana kwa kweli na tunatoboa tu tukiwa wenyewe hivi hivi bila kuwa na wanaume pembeni,” alisema Shamsa ambaye anamlea mwanaye Terry.

Faiza yeye anamlea mwanaye peke yake aliyezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.

Kuachika Kumewapa Maendeleo Shamsa, Faiza!


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB