;
Husna Maulid "Nikificha Kwamba Nampenda Diamond Nitaumia" - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 27 June 2020

Husna Maulid "Nikificha Kwamba Nampenda Diamond Nitaumia"Miss Kinondoni na Sinza, Husna Mohamed ameeleza sababu ya kupost picha za Diamond mtandaoni huku akimsifia.

Mrembo huyo amedai anafanya hivyo kwa kuwa anampenda sana msanii huyo wa muziki ambaye kwa sasa ni baba wa watoto 4.

Husna amedai akijaribu kijizuia kufanya hivyo anakuwa anaumia na sio dhambi kuonyesha upendo kwa mtu.
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB