;
Hiki apa Chanzo cha Ugomvi wa Harmonize na Producer Bonga - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 7 June 2020

Hiki apa Chanzo cha Ugomvi wa Harmonize na Producer Bonga

Hiki apa Chanzo cha Ugomvi wa Harmonize na Producer Bonga
Hiki apa Chanzo cha Ugomvi wa Harmonize na Producer Bonga

Aliyekuwa Producer wa @harmonize_tz ambaye kwa sasa ameacha kufanya nae kazi @officialbonga_ amefunguka kiundani kilichomtoa

Kwa App ya Mapenzi; udaku na michezo»»BOFYA HAPA KUPAKUA APP ISIYOTUMIA DATA NYINGI

Akiongea na Bongo5 @official Bonga_ ameeleza kuwa aliamua kuondoka kwa sababu aliyokuwa anaahidiwa hakutimiziwa lakini pia hakuwahi kunufaika na chochote kutokana na ngoma kali alizowahi kumtengenezea HARMONIZE

Baadhi ya ngoma alizowahi kuzitengeneza BONGA za @harmonize_tz ni pamoja na UNO, NEVER GIVE UP, MAMA, ATARUDI, KUSHOTO KULIA, ONE NIGHT ya @ibrahh_tz na nyinginezo.

@officialbonga_ ameongeza kuwa mpaka anafikia uamuzi wa kuacha kufanya kazi na @harmonize_tz alifukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi na kuanza kulala studio lakini @harmonize_tz alikuwa anaona ni sawa kuwa mfanyakazi ana lala kazini.


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB