;
Hawa Ndio Wanaume 5 Waliowahi Kumvisha Pete za Uchumba Jacqueline Wolper...Wadau Wahofia Kuhusu Huyu Mpya - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 1 June 2020

Hawa Ndio Wanaume 5 Waliowahi Kumvisha Pete za Uchumba Jacqueline Wolper...Wadau Wahofia Kuhusu Huyu Mpya


May 30, mwaka 2020, jina la Jacqueline Wolper lilitawala mijadala kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram baada ya kusambaa picha zikimuonesha akivishwa pete ya uchumba.

Awamu hii mwanaume anayeonekana kuwa mwenye bahati hiyo, ni mbunifu mahiri wa nguo, Chidy Designs aka Suti Bega.
Hata hivyo, hii si mara ya kwanza muigizaji na mfanyabiashara huyo kufika kwenye hatua hii muhimu katika mahusiano.

Tunakuletea wanaume wengine wanne waliowahi kumuuliza staa huyo swali maarufu, will you marry me?

1. Abdala Mtoro Aka Dallas
2. G Modo
3. Jimmy Mgaya
4.Putin Kabali Aka Mkongo
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB