;
Haji Manara Afunguka Mazito Kifo cha Mke wa Babu Tale..."Uliniambia Mgonjwa Yupo ICU Siwezi Kumuona" - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 29 June 2020

Haji Manara Afunguka Mazito Kifo cha Mke wa Babu Tale..."Uliniambia Mgonjwa Yupo ICU Siwezi Kumuona""Tale ninatamani niruke kutoka huku Mbeya,,yaani nimejisikia maumivu ya kupitiliza!!
Majuzi uliniambia Haji huwezi kumuona mgonjwa yupo ICU na ukaniambia nipo kwa @sallam_sk ,watoto wananiulizia mama yao Kila wakati, leo mama yao amekwenda, shemeji yetu na jirani yangu umeondoka ukiwa kijana,umeacha watoto wazuri na umemuachia ndugu yetu ukiwa mkuu!!😭😭
Hakuna maneno yanayotosha zaidi ya kusema Pole @babutale ,Poleni wote mlioguswa na Insha'Allah Mola wetu atawapa subira na atamjaalia Pepo ya firdaus shemeji yetu Shamsa" Haji Manara


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB