;
ESMA Aongea Kwa Uchungu na JUMA Kifo Cha Mke wa BABU TALE "Nimeumia Nilikua Sijui Kama Anaumwa - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 June 2020

ESMA Aongea Kwa Uchungu na JUMA Kifo Cha Mke wa BABU TALE "Nimeumia Nilikua Sijui Kama AnaumwaJuma Lukole "Mke wa Babu Tale ndio aliniambia nikazie kuwa mbeya kuwa utanitoa kimaisha na kweli umenitoa, pia aliniambia niwe naposti umbea wangu kwa kutumia Codes ili kuepusha Ugomvi na Watu"

Esma "Marehemu alikuwa Msomi, Muda wote mavyuo vyuoo tumepoteza msomi, alikuwa umshauri mzuri sana kwa watu , alimpenda sana babu Tale na Babu Tale Alikuwa anampenda mke wake, Walikuwa Marafiki kweli "Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB