;
Dida: Ujinga Tulifanya Zamani, Sasa Ni Pesa Tu - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 June 2020

Dida: Ujinga Tulifanya Zamani, Sasa Ni Pesa Tu


MTANGAZAJI nguli wa Wasafi fm, Khadija Shahibu ‘Dida’, amesema huu ni wakati wa kusaka hela na kuboresha maisha kwa kuwa kipindi cha nyuma alifanya mambo mengi ya kitoto bila kujali maisha.Akipiga stori na AMANI, Dida alisema zamani ilikuwa haipiti siku bila kusikika mtaani kuwa kafanya skendo, lakini kutokana na kukua kiakili, sasa amebadilika.


“Wanawake wanaojielewa sasa hivi huwezi kuwakuta kwenye mitandao kila kukicha, bali wao wanapiga ‘tripu’ tu za kusaka hela kila kona na ndivyo nilivyo mimi,” alisema Dida ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za kike


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB