Diamond awapa onyo madada, Msiseme tupo kwenye mahusiano ya kimapenzi , ntakutoa nishai mtandaoni - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond awapa onyo madada, Msiseme tupo kwenye mahusiano ya kimapenzi , ntakutoa nishai mtandaoniMsanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Pltanumz ameamua kutoa ya moyoni kupitia mtandao wake wa instagram kwa kuwapa onyo madada wanaodai wametembea nao kimahusiano ya kimapenzi.Diamond ameamua kutoa kauli hii baada ya madada wengi kujitokeza kwenye mitandao wakidai kutembea nae na tayari wengine wanaujauzito na wengien wana watoto tayari.

Kupitia Instastori yake ameansika kuwa:-
 “Nashukuru sana kwa upendo mkubwa wa madada mbalimbali ambao unazidi kuongezeka siku hadi siku juu yangu……Nawathamini na nawapenda zaidi. ila tafadhali kama unajua hatujawahi na wala hatuna mahusiano ya kimapenzi usiseme tunamahusiano maana haikai vyema na pia kiubinadamu sio sawa kwa mimi sasa hivi nianze kumtoa mtu nishai mtandaoni nawapenda sana na nawashukuru kwa support kubwa mnayonipa”
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz