;
DC Kisarawe Amefanya Kazi Nzuri Sana ya Kuondoa Zero, Wazaramo Badala ya Kumuoa Mnamwangalia tu- JPM - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 June 2020

DC Kisarawe Amefanya Kazi Nzuri Sana ya Kuondoa Zero, Wazaramo Badala ya Kumuoa Mnamwangalia tu- JPM


“DC wa Kisarawe Jokate Mwegelo amefanya kazi nzuri sana katika kuondoa zero, palikuwa na zero nyingi hapa, ninachowashangaa Wazaramo watani zangu, hajaolewa ila mmeshindwa kumuoa mnamuangalia tu hapa, ndio shida ya Wazaramo, saa nyingine mnashindwa mambo”-JPM


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB