;
DANI CEBALLOS AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Monday, 29 June 2020

DANI CEBALLOS AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

Dani Ceballos akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Sheffield United 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Bramall Lane katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 25, wakati la Sheffield United lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 87 Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB