;
Breaking News: Mke wa Babu Tale, Shammy afariki dunia - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 June 2020

Breaking News: Mke wa Babu Tale, Shammy afariki duniaTANZIA. Mke wa meneja wa Diamond, Babu Tale anayefahamika kwa jina la Shammy amefariki Asubuhi ya leo june 28,2020 akiwa Hospitali ambapo alikuwa amelazwa.

Taarifa kamili kukujia hivi punde

Inna lillahi wa inna ilayhi raji’unPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB