;
Bonga “Harmonize alinambia nitafute gari aninunulie, Ile napata gari nikamfuata akaniambia ana mood mbaya” - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 7 June 2020

Bonga “Harmonize alinambia nitafute gari aninunulie, Ile napata gari nikamfuata akaniambia ana mood mbaya”Aliyekuwa Producer wa @harmonize_tz ambaye kwa sasa ameacha kufanya nae kazi @officialbonga_ amefunguka kiundani kilichomtoa .

Akiongea na Bongo5 @official Bonga_ ameeleza kuwa aliamua kuondoka kwa sababu aliyokuwa anaahidiwa hakutimiziwa lakini pia hakuwahi kunufaika na chochote kutokana na ngoma kali alizowahi kumtengenezea HARMONIZE.

Aliongeza kuwa kuna siku aliumia sana baada ya Harmonize kumuahidi kumnunulia gari ila alipopata gari siku hiyo akamwambia ana mood mbaya

Kwa App ya Mapenzi; udaku na michezo»»BOFYA HAPA KUPAKUA APP ISIYOTUMIA DATA NYINGI


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB