;
Bilionea Laizer Afunguka Kuongeza Mke wa 5 Baada ya Ubilionea ‘Binti Mrembo’ - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 27 June 2020

Bilionea Laizer Afunguka Kuongeza Mke wa 5 Baada ya Ubilionea ‘Binti Mrembo’Ukweli ni kwamba Bilionea mpya Tanzania Saniniu Laizer ni Mume wa Wake watano na anaishi nao wote kwenye eneo moja akiwa amewajengea nyumba Mererani Manyara Tanzania, baada ya kutangazwa kuwa Bilionea mpya kwa kupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya BILIONI 7.8 mitandao mbalimbali iliripoti kwamba moja ya vitu alivyovifanya ni kuongeza Mke wa tano na picha hii ikasambaa, Millard Ayo amempata Laizer na kuongea nae tazama kwenye hii video hapa chiniPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB