;
Basi Latumbukia Kwenye Korongo Laua Watu Wanne - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Sunday, 28 June 2020

Basi Latumbukia Kwenye Korongo Laua Watu WanneTaarifa za awali Ambazo tumepokea kutoka mkoani Iringa zinaeleza kuwa kuna basi ambalo limetumbukia kwenye korongo Mlima Kitonga,

Mpaka sasa watu wanne wamethibitishwa kupoteza maisha na kumi kujeruhiwa baada ya basi hilo la kampuni ya Prezdar (Iringa-Dar) kuacha njia na kutumbukia katika korongo la Mlima Kitonga mkoani Iringa.

Kamanda wa polisi Juma Bwire Amethibitisha kutokea kwa ajali.

Taarifa kamili zitakujia


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB