;
AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA TRANSIT CAMP KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI USIKU WA LEO CHAMAZI - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Saturday, 6 June 2020

AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA TRANSIT CAMP KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI USIKU WA LEO CHAMAZI

Mshambuliaji Muivory Coast wa Azam FC, Richard Ella Djodi Daly akimtoka beki wa Transit Camp katika mchezo wa kirafiki leo usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 0-0.Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB