;
Apple Music Wauweka Wimbo Mpya wa Rosa Ree Katika Nyimbo Kali za Hip Hop Africa..Avunja Record - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Tuesday, 30 June 2020

Apple Music Wauweka Wimbo Mpya wa Rosa Ree Katika Nyimbo Kali za Hip Hop Africa..Avunja Record

Kampuni kubwa Duniani ya Uzambazaji wa Music online Apple Music Wameuweka wimbo mpya wa Rosa Ree Unaitwa Kupoa katika Play list kubwa ya Hip Hop ya Wanamuziki wa Africa, Wimbo huo umewekwa pamoja na Nyimbo kutoka kwa wakali Nasty C, Sarkodie, Kwesi na Wengine

Rosa Anakuwa Rapper wa Kike wa Kwanza kutoka Tanzania Kuingiza Nyimbo katika Play list hiyo kubwa ya Apple Music upande wa Africa

Chini Nimekuwekea list ya Wanamuziki waliongia week hii


Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB