;
BAYERN MUNICH YAICHAPA BORUSSIA DORTMUND 1-0 NA KUKARIBIA TAJI LA NANE MFULULIZO BUNDESLIGA - EDUSPORTSTZ

EDUSPORTSTZ

BREAKING

TUFOLLOW UWE MIONGONI MWA WANAOTUMIWA HABARI KILA SIKU

Wednesday, 27 May 2020

BAYERN MUNICH YAICHAPA BORUSSIA DORTMUND 1-0 NA KUKARIBIA TAJI LA NANE MFULULIZO BUNDESLIGA

Joshua Kimmich akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao pekee dakika ya 43 ikiwalaza wenyeji, Borussia Dortmund 1-0 kwenye mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Signal-Iduna-Park Jijini Dortmund jana. Ushindi huo unawafanya Bayern Munich waongoze Bundesliga kwa pointi saba zaidi ya Dortmund zikiwa zimesala mechi sita hivyo kukaribia kutwaa taji la nane mfululizo la ligi hiyo 
Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB